Moderetor wa
kongamano la wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari nchini Ayub Rioba
akitoa maelekezo wakati wa kongamano hilo linalofanyika katika hotel ya JB
Belmont jijini Mwanza.
|
Kaimu
mkurugenzi mkuu wa TANAPA, ambaye pia ni Mkurugenzi wa Utalii na Masoko Ibrahim
Musa akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa TANAPA ,Allan Kijazi katika
kongamano hilo.
|
Baadhi ya
wahariri kutoka vyombo mbalimbali vya habari wakifuatilia hotuba pamoja na
mijadala mbalimbali inayo endelea katika kongamano hilo.
|
Baadhi ya
wahariri pamoja na waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali nchi wakifanya
utambulisho katika kongamano hilo.
|