Wakati wanafunzi wa Darasa la Saba
nchini wakiendelea na mtihani wao wa mwisho jana na leo kwa ajili ya kuhitimu
elimu ya msingi, watoto wanaosadikiwa kuwa ni wanafunzi kutoka shule mbali mbali za mjini
Iringa walikutwa wakitafuta kitoweo cha samaki katika tope kando
kando ya Mto Ruaha Mkuu mjini hapa kama wanavyoonekana pichani baada ya kukutwa na mpiga picha wetu jana jambo ambao ni hatari kwa usalama wao hasa ikizingatiwa kando kando ya mto huo yapo maeneo yenye kina kirefu. |
No comments:
Post a Comment