![]() |
Redd's Miss Tanzania aliemaliza muda wake, Happiness Watimanywa akimvisha taji, Redd's Miss Tanzania wa sasa, Sitti Mtemvu. |
![]() |
Onesho la ufunguzi... |
![]() |
Vazi la ufunguzi... |
![]() |
Watazamaji na wanahabari wakifuatilia shindano... |
![]() |
Vanesa Mdee akitumbuiza katika shindano hilo. |
![]() |
Wadau kwa nyuso za bashasha wakifuatilia shindano |
![]() |
Hatua ya 15 bora |
![]() |
Hii ilikuwa tano bora |
![]() |
Majaji wakifanya kazi yao... |
![]() |
Wazazi wa familia ya Miss Tanzania 2014. Picha zote na Othman Michuzi. |
No comments:
Post a Comment