![]() |
Baadhi ya wananchi wa wadau wa Afya wakiwa kwenye maandamano wakati wa Uzinduzi wa kampeni ya NYOTA YA KIJANI uliofanyika eneo la kumbukumbu ya Mwl. Nyerere Tabora mjini. |
![]() |
Katibu Tawala Mkoa wa Tabora Bi. Kudra Mwinyimvua akizungumza katika uzinduzi huo ambapo aliwataka akina mama kujitokeza kutumia huduma za uzazi wa mpango. |
![]() |
No comments:
Post a Comment