Mkuu
wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meck Sadick, akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kuzungumza na Wazee wa mkoa wa Dar
es Salaam kwenye ukumbi wa Diamond Jubilee ambapo alimpa taarifa
Mheshimiwa Rais juu ya mafanikio ya ujenzi wa maabara katika Shule za
Sekondari jijini Dar es Salaam kwa asilimia 100 pamoja na matokeo ya
uchaguzi wa Serikali za Mitaa mkoa wa Dar es salaam kwa asilimia 76 ukiacha mitaa miwili ambayo uchaguzi haukufanyika kwa sababu ya vurugu
ambapo wahusika wote wanashughulikiwa kisheria kutokana na vurugu
walizosababisha. |
No comments:
Post a Comment