Kazi ya uokoaji wa abiria waliokuwa ndani ya feri
iliyozama Korea Kusini jana imeingia siku ya pili. Ambapo maafisa
mbalimbali wanaendelea kutafuta takriban abiria 289 waliokuwa ndani ya feri hiyo ambao mpaka sasa hawajulikani walipo. (Hii ni kwa hisani ya BBCswahili)
|
No comments:
Post a Comment