Mwanamitindo
wa Tanzania ambaye anafanya kazi za mitindo nchini Marekani, Flaviana
Matata amezindua bidhaa za urembo za kucha zinazojulikana kwa jina la
LAVY, amezindua bidhaa hiyo mbele ya waandishi wa habari na kuomba
wanawake na watumiaji rangi za kucha wamuunge mkono kwani ni bidhaa
ambayo ipo kwenye soko kwa kipindi hiki kwani kila mwanamke anapenda
kupendeza. Kulia ni Afisa mtendaji mkuu wa Shear Illution Ltd, Shekha
Nasser akiwa ni mmoja wa wasambazaji wa kipodozi cha Kucha ambazo
zimezinduliwa jana.
Wakati huhuo amewapongeza wote waliochangia katika kufanikisha yeye kujulikana kimataifa.
|
No comments:
Post a Comment