Waziri
wa Uchukuzi, Mhe. Harrison Mwakyembe
(kulia) akichangia akichangia
hoja wakati mkutano wa kupitia
taarifa ya mwaka mmoja
ya utekelezaji
wa Mpango wa Matokeo Makubwa sasa uliofanyika Julai
23, 2014 katika ukumbi wa Mwalimu
Nyerere Jijini Dar es Salaam. Kutoka kushoto
ni Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Ufundi, Mhe. Shukuru
Kawambwa, Naibu Waziri
wa Fedha na Uchumi, Mhe. Mwigulu Nchemba, na Katibu
Mkuu wa Wizara ya Nishati
na Madini, Eliakim Maswi. (Picha na Ismail Ngayonga - Maelezo)
| | |