JK AHUDHURIA SHEREHE YA KUWEKWA WAKFU ASKOFU JIMBO KATOLIKI SHINYANGA
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza askofu Mpya wa Jimbo Katoliki
Shinyanga Mhashamu Liberatus Sangu wakati wa ibada ya kumweka wakfu
iliyofanyika katika kanisa kuu la Parokia ya Mama mwenye Huruma,
Ngokolo, mjini Shinyanga juzi.
Rais Dkt. Jakaya Mrisho
Kikwete akitoa salamu zake za pongezi muda mfupi baada ya kumalizika
kwa ibada ya kumweka wakfu askofu mpya wa Jimbo Katoliki Shinyanga
Mhashamu Liberatus Sangu katika Kanisa Kuu Parokia ya Mama Mwenye Huruma
Ngokolo Mjini Shinyanga.
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na maaskofu wa
Katoliki muda mfupi Baada ya ibada ya kumweka wakfu askofu mpya wa jimbo
Katoliki Shinyanga Mhashamu Baba Askofu Liberatus Sangu(wapili kulia
pembeni ya Rais) huko Ngokolo mjini Shinyanga jana. Picha zote na Freddy Maro
No comments:
Post a Comment