RONALDINHO ATAMBULISHWA RASMI KWA MASHABIKI WA FLUMINENSE
Baada ya kuhamia club ya Fluminense Ronaldinho amepewa jezi namba 10 na kutambulishwa mbele ya mashabiki. Ronaldihno mwenye miaka 35 amehamia club hii baada ya kumaliza kuchezea club ya Queretaro.
No comments:
Post a Comment