Chama cha CUF, kimeibuka na kumtetea aliyekuwa Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa kwamba Chama Cha CCM kilimuonea kwa kukata jina katika ngazi ya Kamati ya Maadili na kushindwa kulifikisha Kamati Kuu ya CCM (CC).
Kadhalika, CUF kimesema kipo tayari kumpokea Lowassa ndani ya chama hicho kwa kuwa ni msafi na hajawahi kufikishwa hata mahakamani kwa ajili ya kushitakiwa kutokana na madai ya rushwa. CHANZO: NIPASHE
|
No comments:
Post a Comment