Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitoa hotuba yake wakati wa Ufunguzi wa Kituo cha michezo cha Jakaya M. Kikwete Youth park huko Kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam. |
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akicheza mpira na baadhi ya watoto wanaopata mafunzo ya michezo katika kituo hicho kinachofunza mpira wa miguu, kikapu na volleyball ya ufukweni. |
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa amembeba mtoto wakati wa Sherehe za ufunguzi wa kituo cha michezo cha Jakaya M. Kikwete Youth park huko kidongo Chekundu jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment