DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Monday, December 02, 2013

1331 WAHITIMU FANI MBALIMBALI KATIKA CHUO CHA SERILALI ZA MITAA HOMBOLO DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi (wa pili kulia ) Mwenyekiti wa Bodi ya Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo Ndg. Ramadhani  Khalfan (kulia), meza kuu na halaiki yote iliohudhuria mahafali ya tano ya chuo hicho wakiimba wimbo wa taifa tayari kuanza mahafali.
 
Mkuu wa mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi kwa mamlaka aliyopewa akitunuku astashahada na stashahada kwa jumla ya wahitimu 1331 waliohitimu fani za utawala, usimamizi rasilimali watu, uhasibu na fedha na maendeleo ya jamii katika mamlaka za serikali za mitaa, katika Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo tarehe 30/11/2013.  Mkuu wa Mkoa alifanya hivyo kwa niaba ya Waziri wa TAMISEMI.

Brass Band ya JKT wakiimba wimbo wa taifa wakati wa sherehe za mahafali ya tano chuoni hapo.

Baadhi ya wahitimu (majina yao hayakufahamika mara  moja) wakipongezana kwa furaha baada ya kumalizika kwa mahafali ya tano ya Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo hivi karibuni.

Picha ya pamoja Mkuu wa Mkoa, bodi ya chuo, uongozi wa chuo, wanataaluma na wafanyakazi wa Chuo cha Serikali za Mitaa Hombolo muda mfupi baada ya kumalizika kwa mahafali ya tano chuoni hapo hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment