Raisi Jakaya M. Kikwete akiwasili kwenye uwanja wa Taifa wa
Uhuru ili kuwaongoza watanzania katika maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru wa
Tanganyika. Tanganyika ilipata uhuru mwaka 1961 tarehe 9 Desemba. Watanzania
wengi wamekusanyika kwenye uwanja wa Uhuru ili kuweza kuungana na watanzania wengine
katika maadhimisho haya. (Picha kwa hisani ya Mjengwablog).
|
No comments:
Post a Comment