Brass Bandi ya Jeshi la Magereza Kiwila wakiongoza maandamano ya viongozi waandamizi katika Mahafali ya Chuo kikuu kishiriki cha Mkwawa manispaa ya Iringa. |
Mkuu wa chuo Pr. Amandina Lihamba akihutubia wahitimu katika Mahafali ya Tano 7- Des-2013 yaliofanyika viwanja vya michezo chuoni Mkwawa manispaa ya Iringa. |
Muhitimu Mbuba Veronica akitoa mkono kwa viongozi baaba ya kusoma na kukabidhi risala kwa mgeni rasimi katika Mahafali chuoni Mkwawa. |
Jumla ya wanafunzi (591) wamestahili kupata Shahada ya Elimu ya Jamii na Ualimu ya Chuo Kikuu cha Dar es salaam kupitia Chuo Kikuu Kishiriki cha Elimu Mkwawa. Picha zote kwa hisani ya Mjengwablog. |
No comments:
Post a Comment