Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi-CCM, Mhe. Dr. Jakaya M. Kikwete ametangaza siku tatu za maombolezo hadi Desemba 8, 2013 na bendera ya taifa kupepea nusu mlingoti kufuatia kifo cha Nelson Mandela. |
No comments:
Post a Comment