Marais wastaafu Thabo Mbeki wa Afrika
Kusini katikati, Festus Mogae wa Botswana kushoto na Rais Mstaafu wa
Tanzania Mhe. Benjamin William Mkapa wakiongoza mkutano wa kujadili changamoto mbalimbali
zinazozikabili nchi za Afrika na kuangalia masuala mbalimbali ikiwa ni
pamoja na hatua za kushughulikia changamoto hizo. |
No comments:
Post a Comment