Mwenyekiti wa
Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA) Profesa Ibrahim Lipumba (katikati)
akisisitiza jambo wakati akiongea na wandishi wa habari jijini Dar es Salaam jana wakati wa kutoa Tamko kuhusu Wito wa Viongozi wa Dini wa kurudi
Bungeni. kushoto ni Mwenyekiti wa Chadema, Mhe. Freeman Mbowe, wa pili kulia ni
Mwenyeti wa NCCR-Mageuzi, Mhe. James Mbatia. Kulia ni Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt.
Wilbrod Slaa.
|
No comments:
Post a Comment