DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Monday, August 11, 2014

RC IRINGA AIPONGEZA KAMATI YA USALAMA BARABARANI KWA KUJITOLEA GARI LA WAGONJWA KWA AJILI YA KUOKOA MAJERUHI WAKATI WA AJALI

Mkuu wa Mkoa wa Iringa Dr. Christine Ishengoma  (kushoto) akishangilia baada ya  kuzindua rasmi Gari la Wagonjwa  lililotolewa na Kamati ya Usalama Barabarani kwa  kamanda wa  polisi mkoa wa Iringa Ndg. Ramadhan Mungi (kulia).

No comments:

Post a Comment