TAIFA STARS YATUA JOHANNESBURG KUJIANDA KUKABILIANA MSUMBIJI
Kikosi cha Taifa Stars kimewasili
mjini Johannesburg salama salimini kwa ajili ya maandalizi ya mwisho kabla ya kwenda
Maputo, Msumbiji kwa ajili ya mechi dhidi ya Mambas itakayochezwa
Jumapili.
No comments:
Post a Comment