RC DODOMA DR. NCHIMBI AFUNGUA MKUTANO WA VIONGOZI WA KANISA LA MORAVIANI TANZANIA, ASISITIZA KANISA KUOMBEA TAIFA
Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akizungumza na viongozi wa Kanisa la Moraviani
Tanzania wakati wa ufunguzi wa mkutano wa viongozi wa kanisa hilo nchini
uliofanyika mwishoni mwa wiki mjini Dodoma.
Viongozi
wa Kanisa la Moraviani Tanzania wakisikiliza salamu za Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dr.
Rehema Nchimbi wakati akifungua mkutano wa viongozi wa kanisa hilo uliofanyika
mwishoni mwa wiki mjini Dodoma.
No comments:
Post a Comment