Mhifadhi utalii katika hifadhi ya Mlima Kilimanjaro (KINAPA), Eva Mallya akizungumza juu ya ofa iliyotangazwa na hifadhi hiyo ya kupanda mlima huo kwa siku moja na kurudi hadi kilele cha Shira. |
Ukiwa katika hifadhi hiyo utafurahia mandhari mbalimbali za mlima huo. |
Wengine wanaweza pia kupanda na watoto wao. |
Yapo mahema kwa ajili ya watalii wanaoendelea na safari. |
Waliofanikiwa kufika kilele cha Shira hawakusita kuonesha furaha zao kwa kucheza . |
No comments:
Post a Comment