Magari
yakiwa yamenasa katika eneo la daraja Kitunda Relini, Kitunda jijini
Dar es Salaam kufuatia mvua zinazoendelea kunyesha maeneo mbalimbali ya
jiji la Dar es Salaam na kujaza maji katika mito mingi jijini. Ni vyema
madereva na watu wengine kuwa makini wanapoona maji mengi katika mito
hiyo wasijaribu kuvuka kwani wanaweza kupata madhara kama hayo. |
No comments:
Post a Comment