Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Rais wa Baraza la Nchi ya
Algeria Mhe. Abdulkhader Bensalah akiwasili katika ukumbi wa El-Mithak
Residency jijini Algiers kwa dhifa ya kitaifa aliyoandaliwa na Rais wa
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Algeria Mhe. Abdelaziz Bouteflika katika
Ikulu ya nchi hiyo jijini Algiers Jumapili May 10, 2015 katika siku ya
pili ya ziara yake rasmi ya siku tatu nchini humo.
|
No comments:
Post a Comment