DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Wednesday, October 09, 2013

MHE. MWAKYEMBE UPO HAPO!?

Hii imetokea leo asubuhi kwenye moja ya vijiji (Ibihwa) katika barabara ya Dodoma-Singida ambapo kama inavyoonekana basi hilo liliegeshwa ili abiria wake wachimbe dawa. Kwa kuwa Mpita Njia nilikuwa jirani nilisikitika kuona agizo la Waziri wa Uchukuzi Dkt. Harrison Mwakyembe (Mb) likikiukwa tena katikati ya Kijiji hicho. Nadhani mamlaka husika mtalifanyia kazi.  

No comments:

Post a Comment