DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Monday, October 21, 2013

WADAU WA AFYA WILAYANI BAHI WAKUTANA KUANZA MPANGO WA UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA BAHI KWA NGUVU ZA WANANCHI

Mkuu wa Wilaya ya Bahi Betty Mkwasa (kushoto mwenye miwani) akisikiliza kwa makini michango ya wajumbe wa Kamati Kuu ya Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Bahi kupitia kikao chake cha kwanza kilichofanyika ofisini kwake hivi karibu. Mkwasa ndiye Mwenyekiti wa Kamati hiyo ambapo mpaka sasa tayari ameshafanya ziara katika vijiji vyote 56 vya wilaya hiyo kuwahamasisha wananchi kwa njia ya mikutano ya hadhara kuchangia ujenzi wa hospitali hiyo.


Jamani tupange pamoja!

Mjumbe wa Kamati Kuu ya Ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Bahi, Ndg Donald Mejiti akichangiwa mawazo wakati wa kikao cha kwanza cha Kamati hiyo kilichofanyika kupanga mikakati ya namna ya kuanza kuhamasisha ujenzi wa hospitali ya wilaya hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment