Augosti 24 klabu ya Arsenal ilikuwa mwenyeji wa klabu ya Liverpool katika mechi ya Ligi Kuu Uingereza mechi iliyochezwa katika uwanja wa Emirates wenye uwezo wa kuchukua mashabiki zaidi ya 60,000. Mechi hiyo ambayo ilikuwa na mvuto wa aina yake kwa mashabiki wa Ligi Kuu Uingereza. Mashabiki walikuwa na kiu ya kukosa mechi za Ligi Kuu kwa muda ila kwa bahati mbaya mechi hiyo ya Arsenal dhidi ya Liverpool imemalizika kwa sare ya kutofunga goli (0-0). |
No comments:
Post a Comment