Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida na Mwenyekiti wa Wenyeviti wa CCM Mikoa ya Tanzania, Mgana Izumbe Msindai, akikabidhiwa fomu na Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Manispaa ya Singida, Joseph Mchina ya kugombea Ubunge Jimbo la Singida Mjini kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo-CHADEMA. |
No comments:
Post a Comment