Mshambuliaji wa kimataifa wa Ureno ambaye anaichezea klabu ya Real Madrid yaHispania Cristiano Ronaldo amefanikiwa kununua jumba la kifahari lililopo katika mji waNew York Marekani kwa dola za kimareka milioni 18 ambazo ni zaidi ya bilioni 30 za Kitanzania. Inaripotiwa kuwa wazo la Ronaldo kununua nyumba hiyo alilipata kutoka katika novel ya’50 Shades of Grey’ hata hivyo ununuaji wa nyumba hiyo kwa Ronaldo unaongeza uvumi kuwa huenda ana mapngo wa kwenda kucheza katika Ligi Kuu Marekani kabla hajastaafu soka. |
No comments:
Post a Comment