BAWACHA: ITAHAMASISHA WANAWAKE NCHINI KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU, 2015
Mwenyekiti
wa Baraza la Wanawake wa Chadema
(Bawacha), Halima Mdee akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es
Salaam juu ya uzinduzi wa kongamano la kuunganisha wanawake ili waweze
kushiriki
katika uchaguzi mkuu Octoba 25. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Bawacha, Grace
Tendega na
Makamu Mwenyekiti, Hawa Mwaifunga.
Mwenyekiti
wa Baraza la Wanawake wa Chadema (Bawacha), Halima Mdee akifafanua jambo wakati
wa mkutano na waandishi wa habari Makao Makuu ya Chadema Dar es Salaam,
kuhusu uzinduzi wa kampeni ya wanawake kupitia kongamano litakalofanyika leo
katika ukumbi wa Millenium Tower. Kushoto ni Katibu Mkuu wa Bavicha, Grace
Tendega.
Mwenyekiti
wa Baraza la Wanawake wa Chadema
(Bawacha), Halima Mdee akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es
Salaama juu ya uzinduzi wa kongamano la kuunganisha wanawake ili waweze
kushiriki
katika uchaguzi mkuu Octoba 25.
Katibu Mkuu wa Bawacha, Grace Tendega akifafanua jambo.
No comments:
Post a Comment