Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akilakiwa na wananchi baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro jana. |
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCMSamia Suluhu Hassan, akimtazama mtoto, wakati akikagua Kituo cha Afya cha Hedalu wilayani Same mkoani Kilimanjaro jana. |
Mgombea mwenza kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan akivishwa skafu na Kijana wa CCM baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro jana. |
Mama Suluhu Hassan akisani kitabu baada ya kuwasili Ofisi ya CCM mkoa wa Kilimanjaro. Kulia ni Mohammed Juma, Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Kilimanjaro. |
Mama Samia Suluhu akiwasili uwanja wa mikutano Shule ya Msingi Hedalu. Picha zote na Bashir Nkoromo, Same. |
No comments:
Post a Comment