Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha Mapinduzi
(CCM), Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia wananchi wa Tunduma
waliofurika kwa wingi katika uwanja wa shule ya msingi Tunduma,mkoa wa
Mbeya mapema leo mchana, kwenye mkutano wa kampeni wa kuwaomba Watanzania
ridhaa ya kuwaongoza katika kipindi cha awamu ya tano,ambapo uchaguzi
unatarajiwa kufanyia Oktoba 25 mwaka huu. |
No comments:
Post a Comment