Yupo kwenye orodha ya wanamuziki wakongwe
kwenye muziki wa kizazi kipya nchini Kenya…. wengi wanazikumbuka hits zake
kuanzia mwanzoni mwa miaka ya 2000 na bado mpaka sasa hajatangaza kuacha
kuingia studio… katuletea hii single mpya ‘bonbon‘ yuko na Washington. |
No comments:
Post a Comment