Klabu ya FC Barcelona ya Hispania ambayo imezoeleka kutumia uwanja wake wa Nou Camp, Machi 9, 2016 imetoa picha za muonekano wa uwanja wao utakavyokuwa kwa miaka minne ijayo. FC Barcelona wametoa picha za ramani ya ujenzi wa uwanja huo ambao utajengwa kwa thamani ya Pound milioni 465. |
No comments:
Post a Comment