Amekua akisema siku zote kwamba yeye ni Rais wa Watanzania wote bila kujali vyama wala dini ndio maana Machi 9, 2016 Dkt. John Magufuli alimtembelea na kumjulia hali Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad kwenye hoteli ya Serena Dar es Salaam ambako anapata mapumziko baada ya kuruhusiwa kutoka hospitali ya Hindu Mandal alikokuwa amelazwa kwa matibabu. |
No comments:
Post a Comment