Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib
Bilal wa kwanza (kushoto) akiwa na Rais Mstaafu wa Zambia Mhe. Rupia
Banda, Rais wa Kenya Mhe. Uhuru Kenyatta, Rais wa Msumbiji Mhe. Ermando
Guebuza na Kaimu Rais wa Zambia Dkt. Guy Scott kwenye Misa Maalum ya
kuaga mwili wa Rais Michael Sata iliyofanyika Novemba 11, 2014
kwenye Uwanja wa Taifa mjini Lusaka Zambia. |
No comments:
Post a Comment