DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Monday, November 03, 2014

'YAMOTO BAND' YAFUNIKA BUKOBA


Waimbaji wa Yamoto Band wakitumbuiza katika ukumbi wa Lina's Night Club mjini Bukoba jana. Yamoto Band ni bendi inayokuja kwa kasi sana katika sanaa ya muziki hapa nchini hasa kwa mahadhi ya uimbaji na aina ya uchezaji. Bendi hiyo kwa sasa inatamba na nyimbo za Najuta, Niseme na nyingine kibao.
Mashabiki na wapenzi wa Yamoto Band wakiwashuhudia vijana wakifanya kazi jukwaani (Hawapo pichani)

No comments:

Post a Comment