Askofu
wa Jimbo Katoliki la Dodoma Mhashamu Gervas Nyaisonga akiwapa salamu za mwaka mpya 2014 waamini wa kanisa hilo Parokia ya Bahi ambapo aliwahimiza kuishi kwa kusameheana na kuvumiliana hasa ikizingatiwa kuwa dunia ya sasa mwanadamu anakabiliwa na changamoto nyingi sana za maisha. Askofu Nyaisonga aliyasema hayo mara baada ya kuendesha ibada ya misa takatifu katika Kanisa la Mtakatifu Yohani Mbatizaji lililopo mjini Bahi mapema jana.
|
No comments:
Post a Comment