Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akimnywesha uju wa lishe mtoto Devotha
Samira ili kumwongezea virutubisho mwilini wakati wa uzinduzi wa kampeni ya
lishe bora mkoa wa Dodoma uliofanyika mwanzoni mwa juma lililopita Wilayani Mpwapwa,
anayeshuhudia ni mama mzazi wa mtoto Devotha, Bi. Marium Samira.
|
No comments:
Post a Comment