Mkuu
wa wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi akiwa amebeba kichwani zawadi ya kibuyu
chenye chakula cha asili ya Wanyaturu, Mkuu huyo wa Mkoa alikabidhiwa zawadi hiyo hivi karibuni na umoja wa Wanyaturu waishio mkoani Dodoma wakati wa sherehe yao ya kuukaribbisha mwaka 2014, wengine wanaoshuhudia
ni wanachama wa umoja huo waishio Dodoma.
|
No comments:
Post a Comment