DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Monday, February 24, 2014

MWAKA WA KILIMO AFRIKA WAZINDULIWA IRINGA


Mkurugenzi wa ANSAF, Audax Rukonge (kushoto) akieleza maudhui ya siku ya Mwaka wa Kilimo wa Afrika

Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk Christine Ishengoma (wa tatu kutoka kushoto) pamoja na wadau wa kilimo wakikagua shamba la mfano katika kijiji cha Kaning'ombe hivi karibuni.


Mwakilishi wa shirika la Afrika One kutoka Afrika Kusini akieleza namna kilimo kinavyoweza kuwanufaisha watanzania.


Mkuu wa Mkoa wa Iringa, Dk Christine Ishengoma akipokea zawadi ya kuku kutoka kwa wananchi wa Kijiji cha Kaning'ombe mara baada ya uzinduzi wa Mwaka wa Kilimo Afrika uliofanyika kijijini hapo hivi karibuni.


Pichani ni wazee wa kampeni, Mrisho Mpoto, Profesa J na Masoud Kipanya wakitoa ujumbe kwamba kilimo kinaweza kuwa mkombozi katika kuinua uchumi wa watanzania kama dhamira ya dhati itakuwepo.


Msanii, Ummy Wenslaus maarufu kwa jina la Dokii akieleza jinsi kilimo kinavyomtoa. (Picha kwa hisani ya Francis Godwin)

No comments:

Post a Comment