DOM LAND BLOG

DOM LAND BLOG

Monday, February 24, 2014

MUGABE ASHEREHEKEA KUTIMIZA MIAKA 90 YA KUZALIWA KWAKE

Rais wa Zimbabwe, Komledi Robert Mugabe amesherehekea kutimiza miaka 90 ya kuzaliwa kwake Jumapili iliyopita. Katika hafla hiyo iliyofanyika mjini Harare Mugabe ambaye ni kiongozi mkongwe zaidi barani Afrika alisema kuwa nchi yake kamwe haitaruhusu wapenzi wa jinsia moja kwani suala hilo ndilo linalochangia zaidi kusambaa kwa virusi vya HIV na UKIMWI. 

No comments:

Post a Comment