Katibu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Thomas
Kashillilah, amewaeleza Waandishi wa Habari kuwa Bunge Maalumu la Katiba litafunguliwa rasmi Jumatano Februari 26, 2014
likiwa na wajumbe 629 na imethibitishwa kuwa kila mjumbe atalipwa Sh 300,000
kwa siku. Dk Kashililah aliyasema hayo jana wakati akiongea na Waandishi hao ndani ya ukumbi mpya wa
Bunge, walipoingia kwa mara ya kwanza kuangalia mfumo wa
kisasa wa sauti pamoja na mambo mengine.
|
No comments:
Post a Comment