Martin Luther King Jr, akihutubia miaka 47 iliyopita. Desturi moja ya kukumbuka na kusherehekea matukio muhimu katika historia ya watu wenye asili ya Kiafrika kila mwaka, hufanyika mwezi wa pili nchini Marekani. Desturi hiyo ilianzishwa mwaka 1926 na mwanahistoria mweusi na
mashuhuri, Dkt. Carter G. Woodson, huku akiungwa mkono na Shirikisho la
Uchunguzi wa Historia na Maisha ya Mnigro (Association for the Study of
Negro Life and History). |
No comments:
Post a Comment