Madereva wa mabasi yaendayo mikoani ambayo huanzia safari
zake Kituo cha Ubungo Jijini Dar es salaam wameanza mgomo leo asubuhi na
kuwapata tabu abiria wanaotarajia kusafiri kuelekea mikoani na nchi jirani na
Tanzania. Chanzo cha mgomo huo bado hakijafahamika kwa taarifa zaidi endelea
kutufatilia kupitia www.benollo. blogspot .com
|
No comments:
Post a Comment