WAREMBO WA SHINDANO LA MISS REDD'S TANZANIA 2014 WAJIFUA GYM KUBORESHA MIILI YAO
Warembo
wanaoshiriki shindano la Redd's Miss Tanzania 2014 jana wameingia siku
ya pili ya kambi yao jijini Dar es Salaam na baada ya semina asubuhi na
mapumziko ya mchana jioni hiyo walifanya mazoezi katika chumba maalum cha
mazoezi 'Gym'.
No comments:
Post a Comment