Jana ni siku njema sana kwa mashabiki na wafuasi wa timu ya Manchester
United baada ya timu yao kuibuka na ushindi wa bao 4-0 hadi dakika ya mwisho
ya mchezo dhidi ya Queens Park
Rangers (QPR) hii ni kwa mchezo wa Primer League. Mvua
hiyo ya magoli ilianzishwa na nyota wake mpya Angel di Maria alipopiga
mkwaju wa adhabu ndogo dakika ya 24 na baadae goli la pili kufungwa na Ander Herrera dakika ya 36 na Wayne
Rooney dakika 48 kutupia la tatu na kuipeleka mampumzika ikiwa na ushindi wa 3-0.
|
No comments:
Post a Comment