Mwenyekiti
wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba Mhe. Andrew Chenge
akimkabidhi Mwenyekiti wa Bunge hilo Mhe. Samuel Sitta Rasimu ya Katiba inayopendekezwa wakati wa kikao cha Kamati ya Uongozi cha Bunge leo. Kamati ya Uandishi imemaliza kazi ya kuandaa Rasimu hiyo na
inatarajiwa kusomwa Bungeni kesho. |
No comments:
Post a Comment