Mwenyekiti
wa CCM Taifa Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akiwa ofisini kwake Makao Makuu ya CCM Ofisi Ndogo Lumumba.
Mwenyekiti
wa CCM Taifa Rais Mstaafu wa awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na Katibu wa Itikadi na Uenezi Nape Nnauye mara baada ya
kuwasili kwenye Makao Makuu ya Chama Ofisi Ndogo Lumumba.
No comments:
Post a Comment