Rais Dkt. John P. Magufuli aweka saini kitabu cha wageni wakati alipomtembelea
Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa ofisini kwake jijini Dar es
salaam Novemba 26, 2015 na kuzungumza nao kwa takribani saa moja (Picha
na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Rais
Dkt. John P. Magufuli akisalimiana na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa
wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26,
2015 na kuzungumza nae kwa takribani saa moja. (picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
Rais
Dkt. John P. Magufuli akiagana na Waziri Mkuu, Majaliwa Kassim Majaliwa
wakati alipomtembelea Ofisini kwake jijini Dar es salaam Novemba 26,
2015 na kuzungumza nae kwa takribani saa moja. (picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu).
No comments:
Post a Comment